CHEMCHEMU YA FURAHA

David Wilkerson

Naamini uwo wulefu, kuendeleya katika furaha kumekosekana sana of the kwaupana katika kanisa la leo. Niliwahi kusikia Wakristo wakisema, “Tuliombea kuja kwa uamsho.” Bado uamsho hauwezi kuja kamwe kwa ombi peke yake. Hapo hapawezakani uwamusho wa kipeke isipokuwa tu watu wenye kuwa nabidi peke ya Neno la Mungu. Tena lazima wawe wameweka kabisa maisha yawo aongozwe na Maadiko. Hatuwezi kamwe kupata furaha kutoka mbinguni mpaka Neno safi limetushauli kuludiya nyuma kwetu.

Wakati Dawidi irifanya ukaidi, alipoteza furaha kutoka kwa Bwana. Furaha hiyo igerudishwa tu nakutubu kwaukweli. Dawidi ilijua hili, ndio mana aliomba, “Unioshe kabisa na uovu wangu, unitakase dhambi zangu. Maana nimejuwa mimi makosa yangu, na dhambi yangu i mble yangu daima. . . . Unisafishe” (Zaburi 51:2–3, 7). Dawidi ariomba tena kurejesha kile alikua amepoteza: “Unirudishie furaha ya wokovu wako” (Zaburi 51:12).

Ezra aliambia watu kujenga tena Yerusalemu, ndani ya kiini, “Mulikua na njaa ya Neno la Mungu,na sasa liruhusi lifanye kazi katika mioyo yenu. Muli tubu na mukaomboleza, tena Mungu alifurahi. Lakini sasa niwakati wakufurahia! Towa inje leso zenu na mujipanguze machozi yenu. Niwakati wa furaha!”

Utukufu wa Bwana ukashuka kwa Israel, na watu walitumia zigine siku saba wakifurahia: “Nawatu wote wakaenda zao kula na kunywa . . . nakufanya furaha nyingi,kwasababu walikuwa mameyafahamu maneno ya torati” (Nehemia 8:12).

Neno la Kiheburayo ‘’mirth’’ hapa linamanisha “shauku, furaha.” Hili siyo kujisikia vizuri tu, lakini nikuingia chini kabisa, nakuwa na uchangamufu wa ndani. Niwazi kwakira mtu amezunguka chemchemu hii ya furaha ilio toka mbinguni.

Wakati Neno la Mungu limehishimiwa, matokeo yake nikutoa ukweli “Furaha ya Yesu.”