Body

Swahili Devotionals

AMINI TU!

David Wilkerson

Nashangaa kwa majibu ya Bwana wa upendo kuhusu huzuni. Ninaposoma Biblia, naona kwamba hakuna chochote kinachochochea moyo wa Mungu zaidi kuliko nafsi ambayo inashindwa na huzuni.

 Huzuni maana yake ni "huzuni kubwa" au Isaya inatuambia Bwana mwenyewe ni khabari na hii ya inayoumiza hisia "huzuni inasababishwa na dhiki uliokithiri": "Alidharauliwa na kukataliwa na watu, mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko" (Isaya 53: 3).

Tunaona mfano mzuri wa majibu ya upendo ya Mungu kwa huzuni katika Marko 5, ambapo tunasoma juu ya kukutana na Yesu na Yairo, mtawala wa sinagogi.

ANGALIA KWA YESU!

David Wilkerson

Paulo anasema muda unakuja wakati "tumefanya yote, [tunasimama" (Waefeso 6:13). Tunasimama juu ya Neno la Mungu - licha ya maumivu yetu yote na huzuni, licha ya udhaifu wote wa mwili wetu. Katika Neno la Mungu tunasoma wawili waliyefanya uamuzi kuwa, "Mimi nahitaji tu kugusa pindo la vazi lake." (Akaunti kwa ofisa wa sunagogi na mwanamke ambaye alikuwa na ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili ni inapatikana katika Marko 5: 22-43.)

NGUVU KUTOKA JUU

Gary Wilkerson

Inakuja wakati katika maisha ya kila mwamini Roho lazima aende kwa njia ambayo ni nje kutoka kwetu. Tunahitaji kufanya kazi ambayo inahitajika - kuzungumza, kugusa, kutoa. Hiyo ndio hasa kilichotokea wakati wanafunzi hawakuweza kumtoa pepo kutoka kwa mtu mgonjwa. Yesu akawaambia, "Namna hii hiwezi kutoka  kwa neon lolote isipokuwa kwa kuomba na kufunga" (angalia Marko 9:29). Kwa maneno mengine, ilihitaji utegemezi kamili juu ya Mungu. Tunapaswa kusema, "Siwezi kufanya hivyo kwa nguvu zangu mwenyewe. Inahitaji nguvu za Mungu."

NGUVU ZA UKWELI

David Wilkerson

Kama watu wa Mungu, hatuwezi kwenda mbele kwa ukamilifu ndani ya Kristo kama hatuwezi kuongeza bidi zatafauti zetu kutoka pepo za dunia hii. Kama hatugeuke sana nakuwaza mambo ya mbinguni na tuachane na mambo ya kujifurahisha ya dunia hii imetuzunguka, tutapungukiwa na furaha ya okuvu wetu. Ukweli wa kusikitisha ni kuamba, waumini wengi hawawezi kufurahia wokovu wao kwasababu hawajukumike kwa kutii Neno la Mungu. Kutii kwa Neno hili,ndiyo mahali hapo zinaanzia Baraka na furaha!

SAUTI ZAUSHINDI

David Wilkerson

Wakati turi anzisha Kanisa la Mraba wa Nyakati (Times Square Church) munamo 1987, tuligunduwa haraka kama tuko tunafanya kazi ya uchungaji katika Korinto yasiku yakisasa, mojawapo ya eneo la mufureji duniani ndani ya Agano Jipya. Kwahiyo, tunapashwa kuhubili ujumbe wakutia hatiani na kuweza kuamusha mioyo. Wakati tulifunguwa mirango mala yakwanza, mikutano yetu ilikuwa inahuzuliwa na Wakristo wengi wanafanya kazi katika sekta ya burudani ya juu na televisheni na filamu. Wamoja wlichagua kubakiya katika kazi zawo zilikuwa zinaonekana wazi kama zinafedhehesha Bwana.

CHEMCHEMU YA FURAHA

David Wilkerson

Naamini uwo wulefu, kuendeleya katika furaha kumekosekana sana of the kwaupana katika kanisa la leo. Niliwahi kusikia Wakristo wakisema, “Tuliombea kuja kwa uamsho.” Bado uamsho hauwezi kuja kamwe kwa ombi peke yake. Hapo hapawezakani uwamusho wa kipeke isipokuwa tu watu wenye kuwa nabidi peke ya Neno la Mungu. Tena lazima wawe wameweka kabisa maisha yawo aongozwe na Maadiko. Hatuwezi kamwe kupata furaha kutoka mbinguni mpaka Neno safi limetushauli kuludiya nyuma kwetu.

KUWA NA NJAA YA NENO LA MUNGU

David Wilkerson

“Furaha ya Bwana ni nguvu zenu” (Nehemia 8:10). Wakati maneno haya aritangazwa, wana wa Israeli muda huo walirudia nyumbani kutoka utumwani Misri. Chin ya uwongozi wa Ezra na  Nehemia, watu walijenga tena  Yerusalemu kuta zirikuwa zimebomolea. Sasa wameelekeza macho yawo kwa kukarabati Hekalu  na kurejesha inchi kama irivyokuwa..

KUMUNGOJEA YESU

Gary Wilkerson

Sitafundisha wujumbe kuhusu “kungojea nguvu za Mungu” Kama sijafahamu kwamba nikweli. Muke wangu, Kelly, na mimi  tumepitia katika wufahamu huo. Tumewahi kuandika juu ya mutoto wetu Elliot ambaye amekuwa mraibu wa madawa ya kurevya kama vile “heroin.” Kwa muda fulani  hakuwa nyumbani. Turijaribu kumsaidia  kupitia program za kusaidia watumiaji madawa ya kulevya na kuwuliziya  watu binafusi ambao wangeweza ku musaidiya  lakini hayikusaidia lolote.