WAKATI YESU ANAJITAMBULISHA MWENYEWE

David Wilkerson (1931-2011)

Nabii Isaya anasema mambo ya kanisa tu kabla ya kurudi kwa Yesu. Watu wa Mungu hawataonekana kuwa dhaifu, wakitetemeka kwa hofu na kupitiwa na mawazo. Hapana, watachimbuka, wakisherehekea "chakula bora na divai." Bwana anatuambia, kwa kawaida, "Nimeweka kila kitu kizuli sana kwenye mwisho na sasa niko namwagia hilo kwa watu wangu. Wanasherehekea mambo ya ajabu mbele yangu."

"Na katika mlima huu Bwana Mwenye Nguvu ataandaa karamu ya chakula cha matajiri kwa ajili ya watu wote, sikukuu ya divai bora iliotengenezwa zamani - na nyama zilizo non asana pamoja divai nzuri kuzidi zote" (Isaya 25:6, NIV).

Sikukuu hii ya ajabu inafanyika ulimwenguni kote. Wanaume na wanawake wa Mungu wana njaa kwa ajili ya injili inayowagusa sana katika roho zao. Wao wamekataa injili yenye propaganda tu, ya watu wengi na wujuzi tu, na wanatafuta tu kufungiwa pamoja na Yesu, kupokea ufunuo kutoka kwake. Wao wanatoka kwa maombi na moto unachochea kila mtu anao wazunguka.

Kila kitu Bwana anachofanya katika siku hizi za mwisho kimefungiwa karibu na uwepo wake, na sikukuu yake inaweza kuchukua tu nafasi ambapo kuwepo kwa Yesu kunaonekana. Mtunga Zaburi anasema milima imeyeyuka kama nta katika uwepo wa Bwana (angalia Zaburi 97:5). Weka tu, kila ukuta wa kiroho na vipingamizi vya kimwili huyeyuka wakati Yesu anajitambulisha. Uwepo wa Kristo ni wa kweli wakati unavyoonekana kwamba unaweza kuwukaribia kuugusa.

Je! Ni dhahiri, kutobolewa kwa uwepo wa Yesu ni dhahiri katika kanisa lako? Je! Watu hupiga magoti kwa kumwabudu Yeye? Na wanaondoka na mwanga wa pekee wa kuwepo mbele ya Kristo? Je! Nini kuhusu nyumba yako? Je! Wageni wanahisi kuwepo kwa Yesu katika nyumba yako? Je! Harufu nzuri sana ya utakatifu wake inaingiya ndani ya familia yako, ndoa yako, mahusiano yako yote?

Nini jambo la ajabu kuishi katika mwanga wa uwepo wa Kristo! Roho Mtakatifu ataleta na atadumisha uwepo wake na nguvu katika makanisa yetu, nyumba zetu, na mioyo yetu, ikiwa tutamfuata kwa karibu sana.