SULUHISHO LA MUNGU KWA ULIMWENGU WENYE MGOGORO
Bwana wetu daima ana suluhisho kwa ulimwengu katika machafuko, tiba ambayo ametumia kwa vizazi kuamsha kanisa lake, na ni hii tu: Mungu huwainua wanaume na wanawake waliochaguliwa!