ROHO YA KUKATISHA TAMAA

David Wilkerson (1931-2011)

Mfalme Daudi alipokuwa mmoja wa kufadhaika na mapambano, kwa sauti: "Nimekuwa mashakani na kuinama sana; mchana kutwa ninaomboleza ... nimedhoofika sana na kuchubuka, nimeuguwa kwa fadhaa ya moyo wangu. Moyo wangu unapitwa-pwita, nguvu zangu zimeniacha, nuru ya macho yangu nayo imeniondoka” (Zaburi 38:6, 8, 10).

Zaburi hii inatuonyesha mtu mcha Mungu, mwadilifu mwene kukata tamaa. David alikuwa na njaa kwa ajili ya Bwana na akaweka moyo wake kwa ajili yake kila siku katika maombi. Aliiheshimu Neno la Mungu, akiandika juu ya habari mpya, "bwana, niko mwisho wa kamba yangu na sijui kwanini hili linafanyika"

Kama Wakristo usiku waliokata huduma, David alijaribu kuwonyesha wazi kwanini alijisikia kuwa bule na kuvunjika katika roho. Labda aliishi kwa kushindwa kila siku, na tendo la kijinga maishani pia. Mwishowe alijadili pia kwamba Mungu alikuwa anamwadhibu: "Ee Bwana, usinilaumu katika ghadhabu Yako, wala usiniadhibu kwa ukali wa hasira yako!" (Zaburi 38:1).

David haandika kwa ajili ya hali yake moja ya zaburi hii. Anaonesha mambo yote ambayo anaelekeya kwa wa penzi wa Yesu wanakusaidia wakati mmoja kwenye njia yao. Ni muhimu zaidi kujuwa kwamba roho ya kukatisha tamaa, ni silaha moja kubwa ya Shetani kwa ajili ya kupinga wateule wa Mungu. Mara nyingi, hutumia hiyo kustawisha kwamba tulijiletea sisi wenyewe lana ya Mungu kwa kutofikia kigezocha cha utakatifu wake. Lakini mtume Paulo anatuhimiza tusianguke katika mtego wa Ibilisi: "Shetani asije akapata kutushinda; Kwa maana hatujui ujanja wake” (2 Wakorintho 2:11).

Paulo anatuambia kwamba tunapashwa kuona jinsi kukata tamaa kwetu kulivyo – silaha ya mapepo. Shetani anajuwa kwamba hawezi kututowa kutoka kwa Yesu, kw ahivyo, anatujaza uongo mtupu. Wakati hili litatokea, Roho Mtakatifu atatukumbusha juu ya ahadi ya Yesu.

"Mambo ambayo jicho halijaona, wala sikio halijasikia, wala halijaingia moyo wabinadamu, mambo ambayo Mungu amewaandalia wale ampendao" (1 Wakorintho 2:9).

Kuwa imara kwa kuamini mambo mazuri ambayo Roho Mtakatifu anakuambia na umruhusu ajaze roho yako kwa kutia moyo na Baba wa mbinguni. Yeye anakupenda na ahadi zake ni kweli!