KUWA NA NJAA YA NENO LA MUNGU

David Wilkerson

“Furaha ya Bwana ni nguvu zenu” (Nehemia 8:10). Wakati maneno haya aritangazwa, wana wa Israeli muda huo walirudia nyumbani kutoka utumwani Misri. Chin ya uwongozi wa Ezra na  Nehemia, watu walijenga tena  Yerusalemu kuta zirikuwa zimebomolea. Sasa wameelekeza macho yawo kwa kukarabati Hekalu  na kurejesha inchi kama irivyokuwa..

Nehemia aliitisha mukutano usiyo wakawayida  wa muji mahali pako Lango la Maji ndani ya Yerusalemu sehemu za kuta zimekalabatiwa ( wona Nehemia 8:1). Kitu cha kwanza kilichotokea  ilikuwa ni kuhubili Neno la Mungu. Njaa ya Neno iliongezeka kati ya watu, hivyo hawakua na haja  yakuahimiza kusikiliza. Tena walikuwa wameandiliwa vyakutosha kuwasilisha kwa mamlaka ya Neno, na kutaka kuwongozwa nalo  ukilinganisha na ukweli wake.

Kinachoshanganza, Ezira alihubili umati wa watu kama muda wa saa tanu awo sita. Ni tukio la ajabu. Naamini ingekuwa ngumu kuwa na tukio hilo katika kanisa la kisasa. Marejesho kamili hayawezi kupatikana pasipokua  ya jinsi hii ya wale wote wenye njaa ya Neno la Mungu.

Kutofanya makosa, kwenye  Lango la Maji mujini Yerusalem hakukuepo mafasaha ya mahubili. Ezra hakutowa wujumbe unasisimua. Badala, alihubili moja kwa moja kutoka kwa Maandiko, kusoma masahaa mengi mpaka mwisho na  kuelezea maana. Nakadri   watu walivyokuwa wakisikiliza na kushangiliya.

Muda mwingi Ezra alishinda saana na mambo alikwa anasoma na kuishiya kwa “[kubariki] Bwana, Mungu mukubwa” (8:6). Utukufu wa Bwana ukashuka na nguvu nyingi  na watu wote waliinua mikono yawo  wakishangilia . Ndani ya toba  na kuvunjika, “wali inamisha vichwa vyao na  wali muabudu  Bwana na nyuso zawo zikigusa cini” (8:6). Kisha walisimama kwauzoefu mwingi saana.

Ku kuwa udanganyifu kutoka  mazabahu, bira ushahidi  mkubwa. Tena hakukuepo nyimbo. Hawa watu  walikuwa na masikio tu yakusikia  kila kitu Mungu alikua anaambia.

Wapendwa, naamini kwa Bwana anania yakutembeya katikati ya watu wake kama ilivyo leo . Kama tunaenda kuona  hii aina ya uamsho na marejesho nilazima tue na njaa  pamoja na furaha ya maandishi kama alivyo fanya Ezra!