KUPIGANA HISIA ZISIZOHITAJIKA

David Wilkerson (1931-2011)

Hisia zako hakika haziathiri wokovu wako au uhusiano wako na Bwana. Zanaweza kujaribu kukudanganya au kukuiba amani na furaha yako katika Kristo; yanaweza hata kukunyanyasa au kukulaumu. Lakini ni wakati wako wakugundua baadhi ya hisia za kutenganisha kama ni ujumbe kutoka kwa adui, kwa kuwa na nia ya kukuangusha chini ili ukate tamaa na uwe na hofu.

Unaweza kutembea  ndani ya Roho, kusoma Biblia yako, kuomba na kumpenda Bwana kwa moyo wako wote; wakati wa ghafla, hisia zisizotarajiwa, zenye kutisha huzidisha akili na roho vyako. Maovu mabaya hukupa hisia zisizohitajika wakati unapokuwa unatarajia. Ikiwa imesalia bila kufungwa, hisia zako zinaweza kukuweka chini na kupotosha maono yako.

Watu wanaweza kutupa pembeni teolojia na kanuni rahisi, kama vile, "Hawupaswi kujisikia kama hivo! Imani yako yiko wapi? Mungu anataka uishi katika ushindi na furaha vya mara kwa mara." Lakini Mungu anataka kukufundisha masomo yenye nguvu juu ya hisia na jinsi ya kukabiliana nao - na ni muhimu kujihami na Neno la Mungu.

"Kwa maana Mungu hakutupa roho ya hofu, bali ni nguvu na upendo na akili nzuri" (2 Timotheo 1:7). Baba yako mwenye upendo hakukupa hisia za hofu na shaka; badala yake, zawadi yake kwako ni akili kamilifu.

"Maana ingawa tunatembea katika mwili, hatupigana vita kulingana kwa ajili ya mwili. Kwa maana silaha za vita vyetu sio za kimwili ... na kuangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kinachojiinua dhidi ya ujuzi wa Mungu; na kukiteka nyara kila fikira ipate kumtii wa Kristo" (2 Wakorintho 10:3-5).

Hisia hizi za kutisha ni mbinu za adui zinazosababisha kuhoji uaminifu wa Mungu. Lakini Mungu sio mwandishi wao! Leo unaweza kugeuza jaribu la mashaka kwa fursa ya kutowa sifa kubwa kama unaweka chini mawazo mabaya katika jina la Yesu.