KAZI YA KINA ZAIDI YA MUNGU​

Carter Conlon

"Mungu ni kimbilio na nguvu zetu, msaada  shida utaoonekana tele wakati wa mateso. Kwa hiyo hatutaogopa, hata dunia kubadilika, ijapotetemeka milima katikati ya bahari. Ingawa maji yake yajapovuma na kuamuka,; ingawa milima hutetemeka na uvimbe wake. ... Acheni, mujue kwamba mimi ni Mungu; Nitainuliwa katika ya mataifa, nitainuliwa duniani! Bwana wa majeshi yuko pamoja nasi; Mungu wa Yakobo ni kimbilio letu" (Zaburi 46:1-3, 10-11).

"Acheni mjue kwamba mimi ni Mungu!" Ni musitari wa ajabu ambao nyimbo nyingi zimeandikwa na mahubiri yasiyo na idadi alihubiriwa. Lakini nini inamaanisha kuwa bado inaendelea? Je! Ina imaanisha kwamba hatufanyi kitu chochote?

Labda unashangaa mahari ambapo unapaswa kuwa wakati umezungukwa na kelele na wunjinga? - hata nawale wanajifanya ma barozi wa Mungu. Namuna gani unatia mikono yako chini na kuacha kujaribi kuonesha nje kilakitu wakati nikitu chochote hujawahi kufanya?

Kwa kweli, kazi ya kina zaidi ya Mungu inakuwa mahari paliofichwa ndani ya moyo wa mtu. Sio kitu kinachofanya kelele nyingi. Bwana mwenyewe alionyesha ukweli huu kama kwa kuita watu wake mwenyewe kupitia nabii Isaya: "Kwa maana Bwana Mungu, Mtakatifu wa Israeli, asema hivi, Kwa kurudia na kupumzika mtaokolewa; nguvu zenu zitakuwa katika kutulia na kutumaini" (Isaya 30:15).

Kwa maneno mengine, "Ungeweza kupata nguvu za kweli kwa kuacha ziende juhudi zote za kibinadamu na kuweka imani yako katika kazi tu amabaye naweza kufanya." Hiyo ni asili ya kweli ya ukuaji wa Kikristo. Kumbuka, maisha ya Kikristo ni maisha ya siyo kuwa ya kawaida. Hakuna hata mmoja wetu anaweza kutufanya sisi kuwa watakatifu - tunaweza tu kuwa mbegu za maisha yetu kwa Yule anayofanya kazi ya utakaso ndani yetu.

Carter Conlon alijiunga na wafugaji wa Times Square Church mwaka wa 1994 kwa mwaliko wa mchungaji aliyeanzisha Kanisa hilo, David Wilkerson, na akachaguliwa Mchungaji Mkuu mwaka 2001.