BWANA, TENDA KITU!

David Wilkerson (1931-2011)

Maneno matatu ya kawaida yanayosikika kati ya Wakristo wakati wa migogoro ni, "Bwana, tenda kitu! "Ni kinyume kabisa na hali yetu kama wanadamu kusimama na kufanya chochote wakati tunapokabili hali mbaya. Kwa kweli, kusubiri kwa uvumilivu kwa Mungu kutenda ni pengine ni nidhamu ngumu zaidi ya kutembea kwa Kikristo. Hata waumini waliojitolea wanaogopa wakati Bwana asipokwenda kwa mujibu wa ratiba yao.

Mungu wetu kila siku anatafutia alidhi kwa watu ambao wanaomtumaini katika mgogoro wowote, majaribio na hali isiyo na matumaini. Hakika, mara nyingi hutuongoza katika hali ambazo niza kuita musada, muhimu, ngumu, ili kutujaribu. Anataka kuona kama tuko tayari kusimama na kumngojea kuleta ukombozi usio wa kawaida.

Biblia inasema waziwazi, "Hatua za mtu mwema zaimarishwa na Bwana, nae aipenda njia yake" (Zaburi 37:23).

Hilo linamaanisha kuwa ni Mungu, sio shetani, ambaye anatuongoza katika maeneo magumu . Tunaweza kulia, "Bwana, kwa nini unaruhusu mgogoro wangu kuendelea?" Lakini ukweli ni, anaruhusu majaribio yetu kwa makusudi - kwa kusudi. Na hiyo ni vigumu kwetu kukubali!

Ninaamini kabisa kila hatua tunayochukua imewekwa na baba yetu wa mbinguni. Mungu anataka kuzalisha imani ndani yetu, kwa hiyo anatuumba na kututengeneza katika mifano ya Mungu ya imani - kuwa ushuhuda wake kwa huu wakati wa wasio na wenye kutokua na Imani kwa Mungu.

Mungu ni mwaminifu kabisa kwa watoto wake na hawezi kamwe kutuongoza kwenye ukingo wa hali ngumu ili tu atuache. Yeye daima anatuuliza, "Je, wewe ndiye niliyetafuta? Je! Wewe utakuwa mtu asiyeogopa? Nani atanipatia malipo kwa kuacha na kuwaumiza watoto wangu? Je, utasimama katika mgogoro wako na uniamini mimi ni kikuona ukiapitia?"

"Kuendelea kusimama" ni tendo la imani - kupumzika kazi juu ya ahadi za Mungu. Imani hubadilisha kila kitu! Je, utaamua kuacha maswali yote leo na kumwamini tu?